Welcome to our website
Habari zenu wote. Ni mimi KELVIN kutoka Shanghai. Nimeona nije na mambo muhimu ambayo ya kukupa nyimbo na burudani kuhusu habari za wanamuziki wengi wa marekani hasa tukizungumzia kundi la YMCMB yani YOUNG MONEY CASH MONEY BROTHER ila pia watakuwa wanawekwa na wengine tele tu

Najua kila mtu ana aina za miziki yake ila kama unakuwa unaguswa na mtu unataka nimuweke katika website yangu we nishtue tu kwani mimi nitawaweka ila na kama unataka habari mpya na nyimbo mpya za wanyamwezi we nishtue tu.
Visitor's notice
Kama kawaida yangu hapa. Nitapenda kukupa habari mbali mbali za watu ambao ni wanyamwezi. Kwa sasa yupo BIRDMAN hapa anaonekana akiwa anasemwa kwamba kisima chake cha mafuta kinafuria.... hehehehe! mimi sipondi ila ni maneno ya waswahili na kwa sababu hii ni website ya wanyamwezi mimi nawza kusema bado hela nyingi zipo tu...
Na pia ningependa kuwajurisha kwamba muda wa siku za karibuni nitaweka nyimbo za kichina.... Natumaini kuna wanayamwezi watao penda